Kudhibiti minyoo fundo katika mboga

Minyoo fundo ni wadudu wabaya. Ninapoona mimea iliyoathiriwa, ninaing’oa na kuiteketeza ili kuhakikisha kwamba minyoo hao wameangamizwa. Minyoo fundo wanaweza kuishi katika aina zote za udongo, ni rahisi kuwazuia kuliko kuwadhibiti.Hii ndiyo siri:kupanda miche yenye afya;kuharibu vyanzo vyote vya minyoo fundo vilivyopo, na vinavyokaribia shamba lako;kufanya kilimo cha mzunguko wa mimea inayostahimili minyoo fundo;kuepuka kuleta minyoo fundo kutoka mashamba mengine

Current language
ي سواحيلي
Need a language?
If you would like this video translated into other languages, please contact kevin@accessagriculture.org
Translation funded by
GIZ
Uploaded
3 years ago
Duration
15:42
Produced by
Agro-Insight