Mimea imara pamoja na vitalu vilivyoinuka
Lejiumu ni muhimu katika upanzi wa mizunguko, kwa sababu hupunguza magugu na kuupa udongo baktera inayozidisha naitrojeni kwenye udongo. Ili kuhakikisha kwamba udongo una bakteria sahihi, unaweza kununua chanjo ya bakteria ya Rhizobium. Chanjo hii inaweza kuishi kwenye udongo kwa miaka kadhaa, kwa hivyo huhitajiki kuchanja mmea wako wa lejiumu kila mara.
Current language
ي سواحيلي
Need a language?
If you would like this video translated into other languages, please contact kevin@accessagriculture.org
Translated in
KENYA
Translation funded by
GIZ-KCOA
Uploaded
8 months ago
Duration
12:44
Produced by
Nawaya