Kutengeneza mafuta ya njugu na vitafunio
Uploaded 4 years ago | Loading

12:04
Reference book
Katika video hii, baadhi ya wanawake kutoka Benin wanatuonyesha jinsi ya kupata mafuta ya njugu- na namna ya kutengeneza vitafunio vitamu vya njugu. Haya ni mambo matatu muhimu unafaa kuzingatia; chagua aina nzuri ya njugu, fuata mifumo mizuri ya uvunaji na hata baada ya kuvuna, na tumia mfumo mzuri wa usindikaji.
Current language
Kiswahili
Produced by
Alcide Agbangla