Kudhibiti sumukuvu kwenye karanga wakati wa kuanika na kuhifadhi

Kuna aina ya ukungu ambao humea kwenye karanga, mahindi na vyakula vingine. Ukungu huo una sumu inayoitwa sumukuvu.Ili kuwa na karanga salama, ni muhimu kutunza njugu zako wakati wa ukuzaji na hasa wakati kuanika na kuhifadhi.

Current language
Kiswahili
Need a language?
If you would like this video translated into other languages, please contact kevin@accessagriculture.org
Uploaded
3 years ago
Duration
15:40
Produced by
Agro-Insight