<<90000000>> viewers
<<320>> entrepreneurs in 18 countries
<<5432>> agroecology videos
<<110>> languages available

Kuchunga mubichi na yakukauka

Uploaded 3 months ago | Loading

Muna weza ku chunga tomate mbichi dakika juma mingi na fashi ya baridi yenye kuwa na mtungi mbili yenye kuwa pamoja na kuachana. Na zahidi yaku chunga tomate mbichi ; tu na weza kuikahusha ju yaku itumiya wakati yote. Tomate kavu ina weza ku chungiwa dakika mwaka mzima.

Produced by
AMEDD
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

With thanks to our financial partners