Kuandaa mbolea vunde ya nyungunyungu
Uploaded 3 years ago | Loading
16:18
Reference book
Tumia magunia manane ya nailoni ya mbolea ambayo hayana mashimo. Yaoshe vizuri na uyakaushe.Halafu, yapasue.Weka maguni manne yakiwa yamefuatana kisha uyashone kwa uzi wa nailoni.Baada ya wiki moja, nyenzo zote zilizo kwenye mkusanyiko zikiwa zimetulia, tafuta nyungunyungu kutoka kwa wakulima ambao tayari wana mbolea vunde.
Current language
Kiswahili
Produced by
WOTR