Kudhibiti virusi vinavyokunja majani ya nyanya
Uploaded 3 years ago | Loading
13:23
Virusi hivyo haviwezi kuuliwa na dawa zozote. Ugonjwa huu unaweza kusambazwa kutoka mmea mmoja hadi mwingine na nzi weupe. Njia bora ya kudhibiti ugonjwa huu ni kwa kuuzuia. Unaweza kuweka chandarua kuzingira kitalu chako ili kukilinda dhidi ya nzi weupe.Pata mimea ya nafaka kuzingira shamba lako ili kulinda mbogamboga dhidi ya nzi weupe.Mitego ya njano ni njia nzuri ya kujua kama shamba lako lina wadudu weupe na pia ni njia nzuri ya kuwaua.
Current language
Kiswahili
Produced by
MSSRF