Kuhimiza koyokoyo katika shamba lako
Uploaded 5 years ago | Loading
12:59
Reference book
Koyokoyo hulinda makao yao kwenye miti kila wakati na kuwafukuza wageni wowote wakiwemo nzi wa matunda. Koyokoyo hulinda matunda na njugu zako za miti. Pia huwa wanafukuza wanyama ambao wanaweza wakakudhuru ukiwa shambani.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight