Subidas recientes

 • Jinsi ya kutengeneza chumba-baridi cha nyanya Uploaded: Jueves, Noviembre 24, 2022 - 3:07am Updated: Jueves, Noviembre 24, 2022 - 3:17am Kiswahili
  Baadhi ya wakulima nchini Nigeria wametumia matofali ya udongo wao kutengeneza vyumba-baridi vyenye ufanisi mkubwa ili kuhifadhia nyanya zao
 • Uvunaji wa mihogo umerahisishwa Uploaded: Jueves, Noviembre 24, 2022 - 2:41am Updated: Jueves, Noviembre 24, 2022 - 3:17am Kiswahili
  Cassava harvest made easier
  Wakulima kutoka barani Afrika na Asia wanaonyesha jinsi uvunaji wa mihogo ulivyorahisishwa
 • Ukuzaji wa nyanya katika misimu maalum Uploaded: Miércoles, Noviembre 23, 2022 - 6:46am Updated: Jueves, Noviembre 24, 2022 - 3:17am Kiswahili
  Ukuzaji wa nyakati tofauti tofauti unaweza kuwawezesha kupata soko la nyanya freshi katika mwaka mzima
 • Upanzi wa mimea kwa mzunguko pamoja na lejiumu Uploaded: Miércoles, Noviembre 23, 2022 - 4:24am Updated: Miércoles, Noviembre 23, 2022 - 4:49am Kiswahili
  Crop rotation with legumes
  Kwa kujumuisha kunde katika mzunguko wako wa mazao, unaweza kufanya kazi na asili na kupata faida kubwa sasa na katika wakati ujao.
 • Kuongeza uzalishaji wa kuku wa kienyeji Uploaded: Miércoles, Noviembre 23, 2022 - 2:38am Updated: Miércoles, Noviembre 23, 2022 - 4:49am Kiswahili
  Increasing production of local chickens
  Mara nyingi watu hupendelea kuku wa kienyeji kuliko wale wa kisayansi kwa sababu nyama ya kuku wa kienyeji ni tamu na haina mafuta mengi
 • Ufundishaji wa kilimo asilia shuleni Uploaded: Martes, Noviembre 22, 2022 - 9:33am Updated: Martes, Noviembre 22, 2022 - 10:53am Kiswahili
  Teaching agroecology in schools
  Shule zinaweza kutumia shughuli zinazohusiana na kilimo asilia kuwawezesha watoto, wazazi na walimu kuthamini na kutunza maarifa ya kiasili ya wenyeji
 • Upakaji wa mbegu za nafaka kwa kutumia vitu asilia Uploaded: Martes, Noviembre 22, 2022 - 9:14am Updated: Martes, Noviembre 22, 2022 - 10:53am Kiswahili
  Organic coating of cereal seed
  Jifunze jinsi ya kufunika mbegu ya mtama na wimbi kwa udongo, mboji na jivu
 • Kurekodi hali ya hewa Uploaded: Martes, Noviembre 22, 2022 - 9:08am Updated: Martes, Noviembre 22, 2022 - 10:53am Kiswahili
  Recording the weather
  Kufunzana maarifa ya kutabiri hali ya hewa miongoni mwa wanajamii na kupanga shughuli zifaazo za kilimo
 • Okuliisa Amakovu Uploaded: Martes, Noviembre 22, 2022 - 5:05am Updated: Martes, Noviembre 22, 2022 - 5:26am Luganda
  Ebirungo ebiriisa n’obukodyo bw’okuliisa, abalimi abatonotono abaagala okulunda amakovu nga bizinensi
 • Eipone lo aisak, aitoon ka aingad esoya Uploaded: Martes, Noviembre 22, 2022 - 4:53am Updated: Martes, Noviembre 22, 2022 - 5:06am Ateso
  Ikinyom lu esoya mam ebeit ayangarite kwape esoya ecie

Categorías