<<90000000>> viewers
<<320>> entrepreneurs in 18 countries
<<5432>> agroecology videos
<<110>> languages available

Kuongeza uzalishaji wa kuku wa kienyeji

Uploaded 2 years ago | Loading

Kuku wa kienyeji mara nyingi huzalisha vifaranga wachache kutokana na sababu mbalimbali. Ili kuzidisha uzalishaji wa mayai na vifaranga, kuna hatua kadhaa rahisi unazoweza kuchukua. Kwa kuzalisha kuku wengi wa kienyeji walio na afya, unaweza kulisha familia yako vyema mbali na kujipa pesa za ziada

Current language
Kiswahili
Produced by
Practical Action
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

With thanks to our financial partners