Utengenezaji wa soseji kutokana na nyama ya sungura
Uploaded 2 years ago | Loading

12:06
Sungura ni rahisi kufuga na huhitaji nafasi ndogo. Hata hivyo, ingawa sungura wanaweza kuzaana haraka, wakulima wanaweza kupata ugumu kuwauza pamoja na nyama yao. Kwenye video hii, tutajifunza jinsi ya kuandaa soseji kwa nyama ya sungura.
Current language
Kiswahili
Produced by
KENAFF, FRT Malawi, AIS Egypt, Malawi Polytechnic