Ufugaji wa Nyenje kwa ajili ya chakula
Uploaded 1 year ago | Loading
14:19
Wadudu wa kuliwa huhitaji chakula kidogo ikilinganishwa na kuku, kondoo na nguruwe na wana viwango vya juu vya virutubisho kwa wanadamu na mifugo. Kwenye video hii, wakuliwa nchini Uganda watatuonyesha jinsi ya kuwakuza nyenje.
Current language
Kiswahili
Produced by
Jane Nalunga