<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Kuandaa lishe nafuu ya mchanganyiko kwa garama ya chini

Uploaded 4 years ago | Loading

Kwa kuandaa chakula cha msingi kinacholiwa na aina mbalimbali ya wanyama, unaweza kuokoa muda na fedha.Unaweza kuhifadhi chakula hiki cha msingi kwa hadi miezi minne. Kiinue kisiguse ardhi ili sehemu ya chini isioze.Jukumu lako litakuwa kuongeza mahitaji kadhaa kulingana na aina ya mnyama unayemwandalia.

Current language
Kiswahili
Produced by
AIS, MSSRF, WOTR
Share this video:

With thanks to our sponsors