Kubuni masoko ya ma zao ya kilimo asilia
Uploaded 1 year ago | Loading
15:37
Ili kuuza mazao yasiyo na kemikali, tunafaa kuzingatia mambo manne: ushirikiano; kuzungumza na mamlaka za eneo hilo; mfumo thabiti wenye kutoa hakikisho, ili wateja wajue kwamba mazao yote hayana kemikali, na tamati ya yote uvumishaji wa mauzo/mazao yenu na huduma nzuri kwa wateja.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight