Kufunga juu mimea ya nyanya
Uploaded 1 year ago | Loading
12:51
Kuifunga juu mimea ya nyanya huruhusu mwangaza zaidi na mzunguko wa hewa safi kwa mimea. Mimea ya nyanya iliyofungwa hushambuliwa kwa kiasi kidogo wadudu na magonjwa na nyanya haziharibiki kwa urahisi. Kwa kufunga mimea yako, haitaanguka kutokana na uzito wa nyanya. Mimea yako itanawiri na kuzalisha nyanya nyingi zilizo bora.
Current language
Kiswahili
Produced by
Atul Pagar, WOTR