Kukabiliana na vidung’ata kwenye mboga
Uploaded 1 year ago | Loading
10:49
Wakulima nchini India wanaonyesha jinsi kangambili wanavyowaua vidung’ata. Kwa kuwadondosha vidung’ata kutoka kwenye mimea kwa kutumia unyunyizaji wa maji kwa nguvu nyingi, huwa wanakufa. Unaweza pia kunyunyiza mafuta ya mwarubaini kwenye maji machungu ya majani na kuyachanganya na maji au mkojo. Baadhi ya viuatilifu vya kibayolojia huwa na fangasi zinazoua vidung’ata.
Current language
Kiswahili
Produced by
MSSRF