Mimea inayochanua maua huvutia wadudu wenye umuhimu kwetu
Uploaded 1 year ago | Loading
15:35
Wadudu hawa wanaotusaidia wanahitaji chavuo na nekta ili kuishi, na mahali ambapo wanaweza kupata makazi. Panda aina mbalimbali za miti ya maua, ya miiba na miti-shamba kuzunguka shamba lako, ili wadudu wapate vyanzo mbalimbali vya chakula kwa mwaka mzima
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight