Mimea imara pamoja na vitalu vilivyoinuka
Uploaded 2 years ago | Loading

12:44
Vitalu vilivyoinuka lazima viwe vya kimo cha sentimita 20 hadi 30, upana wa sentimita 80 hadi 100 na mitaro yenye upana wa sentimita 30 hadi 40.Vitalu hivyo vinaweza kuwa na urefu wa mita 50 hadi 100 kulingana na mteremko wa shamba.Kwenye vitalu hivyo vilivyoinuka unaweza kupanda kuanzia safu tatu hadi saba za ngano au safu mbili hadi nne za maharagwe ya faba maarufu kama njahe au mbaazi. Kwa sababu vitalu hivyo ni vipana, maji hupitishwa kwa kasi kwenye shamba, huku yakiingia kwenye udongo na kufikia mizizi moja kwa moja.
Current language
Kiswahili
Produced by
Nawaya