Malisho yaliyoboreshwa kwa udongo wenye rotuba
Uploaded 1 year ago | Loading
16:05
Reference book
Changanya mikunde na nyasi kuimarisha rotuba ya udongo na ubora wa lishe. Pia huimarisha mazao ya viazi itakayofuatia kwa upanzi. Endapo huwezi kunyunyiza, panda lishe mwanzoni mwa mvua. Mchanganyiko huu unastahili kuhusisha mimea ambayo hukatwa mara moja pamoja na mimea ya kudumu ya lishe inayoweza kukatwa mara kadhaa kwa mwaka. Baada ya kila inapokatwa, wekea mbolea ya jivu au mbolea ya mboji.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight