Ukuzaji wa lishe ya maji-bumbi
Uploaded 1 year ago | Loading
13:10
Reference book
Maji-bumbi huingiza hewa ya naitrojeni na kuihifadhi katika majani yake. Mmea huo una protini nyingi, vitamini na madini mengine kuliko nafaka na lishe nyinginezo zinazotokana na mimea. Kutokana na hili, pamoja na kwamba maji-bumbi hukua kwa haraka bila tatizo katika eneo dogo, ni lishe bora mbadala.
Current language
Kiswahili
Produced by
AIS, MSSRF, WOTR