Kuepusha maziwa kuwa na dawa za kuua viini-sumu
Uploaded 2 years ago | Loading

8:30
Dawa za kuua viini-sumu, yaani antibiotics kwa Kiingereza, ni dawa zinazotumiwa kuua viini. Dawa hizo huelekea katika mfumo wa damu moja kwa moja. Damu hiyo hubeba dawa hizo hadi katika kiwele ambacho hubeba maziwa.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight