<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Tiba ya minyoo kwa mbuzi na kondoo ukitumia dawa za kienyeji

Uploaded 1 year ago | Loading

Katika video hii, tutajifunza kutokana na wakulima wa Kusini mwa India namna minyoo inayoishi ndani ya mnyama inavyosambaa miongoni mwa mbuzi na kondoo. Tutajionea jinsi ya kuzuia au kutibu wanyama kwa kutumia mbinu chache na rahisi.

Current language
Kiswahili
Produced by
Shanmuga Priya
Share this video:

With thanks to our sponsors