Njia za kiasili za kudhibiti ugonjwa wa mifugo kuvimba tumbo kutokana na gesi nyingi
Uploaded 1 year ago | Loading
12:34
Reference book
Hali ya kuvimbiwa husababishwa na ulaji wa nyasi nyingi zenye unyevu msimu wa mvua. Kwenye tumbo, nyasi hizo zenye unyevu huchachuka na kutoa gesi ambayo huwa kama viputo na kukosa kuondoka tumboni. Pia husababishwa na kubadilishwa ghafla kwa lishe ya mifugo au ulaji wa matunda yaliyoiva sana au kuchachuka, matawi machanga ya mtama au mboga kama vile kabichi au maua ya kibolili yaani koliflawa.
Current language
Kiswahili
Produced by
Atul Pagar, ANTHRA