Uhamasishaji au umotishaji wa viongozi wanawake
Uploaded 1 year ago | Loading
14:27
Wanaume wanapowaunga mkono wanawake wachukue nafasi za uongozi, familia na jamii zao huwa thabiti na zenye furaha zaidi. Mwanamke anayethamini maoni yake mwenyewe, aliye na ujasiri ambaye pia anajua kujieleza anaweza kuwa na mwingiliano mzuri na taasisi za umma na za kibinafsi. Kwa hatua hiyo hata fursa za masoko ya kigeni zinaweza kujitokeza. Kampuni zinazojihusisha na biashara za matunda yasiyokuwa na kemikali, zinataka kushirikiana na makundi ya wanawake yaliyojipanga vizuri na yenye viongozi bora.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight