Njia bora za kushughulikia mabuyu wakati wa kuvuna
Uploaded 5 years ago | Loading
8:12
Katika video hii, tutajifunza kutoka kwa wakulima nchini Kenya jinsi ya kushughulikia matunda ya mbuyu wakati wa mavuno ili kutoa matunda mazuri ya soko na kupata pesa za ziada.
Current language
Kiswahili
Produced by
Biovision