Uvunaji wa mihogo umerahisishwa
Uploaded 1 year ago | Loading
10:00
Hakikisha udongo wako una mbolea ya kutosha ya mboji na upande mmea wako pamoja na lejiumu ili kuuwezesha udongo wako kuwa mwepesi. Panda mbegu zako zikiwa zimelala au zimeinuka kidogo mchangani ili mizizi isiende chini sana ardhini. Kwa kifaa rahisi, unaweza kung'oa/kuchimbua mihogo yako haraka zaidi.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight