Mkojo wa mwanadamu kama mbolea
Uploaded 3 years ago | Loading
9:16
Hapa ni Paya, wilaya ya Tororo, Uganda. Hapa, mashamba yanatumika sana na rutuba katika udongo Iko chini na inaendelea kupungua. Je wajua, kile ambacho tunakichukulia kuwa ni taka kinaweza ikatumiwa kama mbolea ya mimea? Tunazungumzia kuhusu mkojo.
Current language
Kiswahili
Produced by
LUND University, Sweden