Haki ya Wakulima Kupata Mbegu : mifano kutoka Malawi
Uploaded 4 years ago | Loading
13:54
Kwa karne kadhaa, wakulima kote duniani wamekuwa watunzaji wa mbegu na wakuzaji wa aina mpya za mimea.Watunga sera hukabiliwa na changamoto ya kutambua haki za jadi za wakulima kukuza na kuwa na mbegu zao hasa katika enzi ambapo kuna mbegu za kununuliwa. Hata hivyo, wakulima wanazidi kufahamu haki zao na umuhimu wa kumiliki mbegu zao.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight