Ushirikiano ili kutumia maji kwa njia bora
Uploaded 1 year ago | Loading
12:36
Kadri mikondo ya unyunyiziaji wa pamoja inavyoendelea kudorora, wakulima huanza kuharibu rasilimali na kuwekeza juhudi zao nyingi kwenye shughuli rahisi za kila siku. Uhaba huo unapoongezeka na maji kupungua ubora wake, wakulima wanafaa kuwa makini zaidi ili kuimarisha utumiaji wa maji yao.
Current language
Kiswahili
Produced by
Nawaya