Kudhibiti Uozo Mweusi katika kabichi
Uploaded 4 years ago | Loading
6:16
Wakulima wengi hudhani uozo mwesi ni ugonjwa wa ubwiri unyoya. Tofauti ni kwamba, ubwiri unyoya huanza kama madoa ya zambarau kwenye majani, nao uozo mweusi huanza kama mabaka madogo ya njano au kijani yenye umbo la V pembezoni mwa jani.
Current language
Kiswahili
Produced by
Biovision