<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Udhibiti wa vidukari katika maharagwe na mboga

Uploaded 3 years ago | Loading

Vidukari huharibu mmea kwa kunyonya maji yake, kwa hivyo mmea hukua polepole zaidi. Vidukari pia wanaweza kuambukizana magonjwa ya virusi kutoka kwa mimea gonjwa hadi kwa mimea yenye afya. Katika video hii tutaona jinsi wakulima nchini Bangladesh wanavyodhibiti vidukari bila dawa za wadudu.
Current language
Kiswahili
Produced by
CCDB
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

Recent Videos

With thanks to our sponsors