Uhifadhi wa mboga za maharagwe
Uploaded 4 years ago | Loading
11:00
Reference book
Kuna majani mengi ya maharagwe katika msimu wa mvua. Ila, ilikutumika wakati wa ukosefu yanafaa kuhifadhiwa. Wacha tijifunze kutoka kwa akina mama kutoka kaskazini ya Malawi jinsi ya kuchuna, kukausha na kuhifadhi majani ya maharagwe.
Current language
Kiswahili
Produced by
NASFAM