Upanzi wa mimea kwa mzunguko pamoja na lejiumu
Uploaded 2 years ago | Loading
12:29
Lejiumu ni muhimu katika upanzi wa mimea kwa mzunguko kwa sababu hupunguza magugu na kurutubisha udongo kwa kusaidiana na bakteria wanaotengeza naitrojeni kwenye udongo. Ili kuwa na uhakika kuwa udongo wako una bakteria sahihi, unaweza kununua chanjo ya Rhizobium bacteria. Bakteria wa Rhizobium huweza kuishi kwa miaka kadhaa kwenye udongo, kwa hivyo huhitajiki kuchanja mimea yako ya lejiumu kila wakati.
Current language
Kiswahili
Produced by
Nawaya