Upakaji wa mbegu za nafaka kwa kutumia vitu asilia
Uploaded 2 years ago | Loading
12:16
Ufunikaji bila kemikali hulinda mbegu zako dhidi ya ndege na wadudu, na huipa miche michanga unyevu na virutubisho zaidi. Unaweza kupanda mbegu zilizofunikwa mapema zaidi, kabla ya mvua kuanza.
Current language
Kiswahili
Produced by
Access Agriculture, IVTSANE