Kukausha majani ya mboga za sikumawiki
Uploaded 4 years ago | Loading
9:53
Wakulima na wauzaji hupata ugumu kuuza mboga za majani hata siku moja tu baada ya kuchuma, kwa sababu majani huharibika haraka.Mboga mbichu pia huwa vigumu kubeba na huharibika kwa urahisi wakati wa kusafirisha.Hata hivyo, kuna mbinu wanazoweza kutumai wakulima na wauzaji ili kupunguza hasara na hata kuuza mboga za majani, hata nje ya msimu wa uvunaji.
Current language
Kiswahili
Produced by
Biovision Kenya, NASFAM Malawi, Egerton University Kenya, Sulma Foods Uganda