Kukusanya matunda yaliyoanguka ili kukabili nzi
Uploaded 6 years ago | Loading

13:00
Nzi mmoja wa matunda anaweza kutaga mamia ya mayai maishani mwake. Nzi hutoboa tunda na kutaga mayai, hali hiyo husababisha matunda kuanguka mapema na kuoza. Nzi wengi wanaweza kuzaliwa kutoka kwenye tunda moja lilivamiwa, kwa hivyo usiache matunda yaliyoanguka ardhini.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight