Mazoea bora: kuchuma na kukausha
Uploaded 8 years ago | Loading
9:44
Uzalishaji wa kahawa ya ubora hauji kighafla. Ni mkusenyo wa vipengele vingi vya usimamizi wa mashamba ya kahawa na ni lazima shuguli hiyo ifanyike vizuri ili kupata matokeo mazuri. Katika kipindi hiki tutazingatia vipengele viwili abavyo vitaathiri kipato chako kama wewe ni mkulima wa kahawa. Shughuli ya kwanza ni kuvuna kahawa. Ya pili ni kuwa na ubora ili kupata faida zaidi kupitia mbinu nzuri za kukausha na kuhifadhi.
Current language
Kiswahili
Produced by
Countrywise Communication