Kupanda ufuta au simsim katika safu na kupunguza miche
Uploaded 4 years ago | Loading
10:00
Reference book
Kupanda katika mistari hurahisisha kupalilia kwa mikono au plau.Kupanda katika mistari hurahisisha kuvuna na kufunda mabunda kwa sababu tunaweza kutembea kati ya safu bila kusumbuliwa na mimea.
Current language
Kiswahili
Produced by
MOBIOM