SLM05 Ufugaji wa Ndani na Biogas
Uploaded 7 years ago | Loading
7:08
Kilimo mijini ni muhimu sana, haswa katika nchi zinazoendelea. Na Kampala, jiji kuu la Uganda halijaachwa nyuma. Katika miji kama hii, kuna wingi wa maji na taka ambazo zaweza kubadilishwa kuwa chakula na faida. Nafasi ndiyo inayokosekana.
Current language
Kiswahili
Produced by
Countrywise Communication, CIS Vrije Universiteit Amsterdam