Kuandaa juisi ya mabibo ya korosho
Uploaded 4 years ago | Loading
9:20
Ulimwenguni kote, watu hufurahia sana korosho, lakini mabibo hayathaminiwi zaidi. Hata hivyo, mabibo yanaweza kusindikwa ili kuwa juisi na bidhaa nyingine zinazoweza kutumiwa mwaka mzima.
Current language
Kiswahili
Produced by
DEDRAS