Kutumia mitego ya chakula kuwaua nzi wa matunda
Uploaded 5 years ago | Loading
11:57
Kuna aina nyingi za nzi wa matunda lakini wote wanavutiwa na mitego iliyo na protini na sukari. Nzi wa matunda wanaweza kunusa chakula kutoka umbali wa hadi mita 10.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight