Kudhibiti sumu kuvu kwenye mahindi wakati wa kuanika na kuhifadhi
Uploaded 6 years ago | Loading
15:03
Familia nyingi za wakulima huhifadhi mahindi yao kwa matumizi ya mwaka mzima. Wengine hukausha na kuuza mahindi kwasababu wanahitaji pesa. Lakini mahindi ambayo hayajakaushwa na kuhifadhiwa vizuri yatakuwa na kuvu, kwa jina lingine, ukungu. Kuvu hizi hutoa sumu inayoitwa sumu kuvu. Sumu kuvu ni aina ya sumu inayotokana na ukungu.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight