<<90000000>> viewers
<<240>> entrepreneurs in 17 countries
<<4135>> agroecology videos
<<105>> languages available

Matandazo kwa ardhi na mimea bora

Uploaded 3 years ago | Loading

Unaweza kutayarisha matandazo kutokana na vipande vya mimea mikavu vinavyopatikana kwa urahisi kama vile majani, nyasi au mabua. Ni rahisi kuweka matandazo. Isitoshe, hukusaidia kuokoa maji, muda na kupunguza kazi. Pia huboresha ardhi na kukupa mavuno mazuri.You can make mulch from any locally available, dry plant material such as grass, or straw. Mulching is easy. And above all, it helps to save you water, time and labour whilst at the same enriching your soil and giving you a better harvest.

Current language
Kiswahili
Produced by
Atul Pagar, WOTR
Share this video:
How you can help... Your generous donation will enable us to give smallholder farmers better access to agricultural advice in their language.

Recent Videos

With thanks to our sponsors