Udhibiti wa ndege katika ukulima wa maharagwe ya kupanda na kutambaa
Uploaded 4 years ago | Loading

10:15
Lakini kumbuka kila wakati, haijalishi ni vipi unawatisha ndege, watajifunza haraka na warudi. Mara kwa mara badilisha njia unayotishia ndege, ili wasiizoea. Kutisha ndege ni muhimu, lakini ni muhimu zaidi kuwa na chakula kingi kwao. Wakulima wa kusini-magharibi mwa Uganda walielewa hili vizuri sana na wakavumbua njia rahisi, lakini dhabiti ya kushirikiana kuzuia uharibifu wa ndege.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight, CIAT