Kudhibiti kupe wa ng’ombe
Uploaded 4 years ago | Loading

12:40
Reference book
Kupe ni viumbe wadogo wanaofanana wadudu ambao hufyonza damu ya wanyama. Wanaweza kuwafanya wanyama kuwa na magonjwa ya ngozi na magineyo, pia wanaweza kuharibu kabisa matiti ya ng’ombe.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight