Kudhibiti Magonjwa ya vitunguu
Uploaded 4 years ago | Loading
10:00
Vitunguu hufanya vizuri kwa mazingira tofauti tofauti, lakini vitunguu vikipandwa msimu wa mvua vina nafasi kubwa vya kupatwa na magonjwa. Magonjwa ya vitunguu yanaweza kufanya majani kukunja na kupunguza mavuno yako. Vitunguu huugua kwa urahisi zaidi katika hali ya hewa ya joto na yenye unyevu.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight