Kusimamisha maharagwe ya kutambaa
Uploaded 7 years ago | Loading
15:15
Katika maeno ambako miti na vichaka ni vichache, kupata vigingi huwa vigumu na ghali. Kwa kawaida wakulima hawana pesa za kutosha kununua vigingi. Hebu tuwatembelee wakulima kusini magharibi mwa Uganda ambao watatuonyesha njia tofauti za kusimamisha maharagwe hata bila vijiti.
Current language
Kiswahili
Produced by
Agro-Insight