Kilimo mseto cha mahindi na mbaazi
Uploaded 4 years ago | Loading
9:54
Reference book
Mimea ya jamii kunde kama mbaazi huvuta naitrojeni kutoka hewani na kuiweka ardhini.Ndiyo maana inaitwa mimea ya kuongeza naitrojeni.Ukikuza mbaazi pamoja na mmea mwingine, vinundu vilivyo kwenye mizizi ya mbaazi vitaipa mmea huo mwingine naitrojeni.Mizizi, mashina au majani yoyote ya mmea huo yanayobaki shambani pia huboresha udongo.
Current language
Kiswahili
Produced by
NASFAM