Mbolea asilia, yaani mboji, yenye viumbe-hai iliyo majimaji na ngumu
Uploaded 1 year ago | Loading
14:49
- English
- Arabic
- Bangla
- French
- Hindi
- Portuguese
- Spanish
- Assamese
- Aymara
- Bambara
- Baoulé
- Bemba
- Bisaya / Cebuano
- Chichewa / Nyanja
- Chitonga / Tonga
- Dioula
- Fulfulde (Cameroon)
- Hiligaynon
- isiXhosa
- Kannada
- Kikuyu
- Kinyarwanda / Kirundi
- Kiswahili
- Kriol / Creole (Guinea-Bissau)
- Malagasy
- Marathi
- Peulh / Fulfuldé / Pulaar
- Quechua
- Sinhala
- Tagalog
- Telugu
- Tumbuka
- Wolof
Ili kuvuna mazao yenye afya, unahitaji udongo wenye rotuba, kwa sababu huwa na vijidudu muhimu na choo/minyoo wengi wenye manufaa. Ili kutengeneza mbolea ya mboji inayotosha nusu hekta ya shamba, unahitaji kilo 10 za samadi freshi ya ng'ombe, mkojo wa ngo'mbe, unga wa njegere au nafaka nyingine jamii ya maharagwe, sukari nguru, na kiganja kimoja cha udongo wenye afya na rotuba.
Current language
Kiswahili
Produced by
Atul Pagar, WOTR