Ukuzaji wa nyanya katika misimu maalum
Uploaded 2 years ago | Loading
5:56
Ikiwa unapanda nyanya, unahitaji kuhakikisha kuwa watu wengine hawapandi wakati huo, la sivyo utaziuza kwa bei ya chini sana. Ushirikiano huu wa kikazi katika kundi pamoja na ukuzaji wa misimu/nyakati tofauti tofauti, unaweza kuhakikisha uwepo wa soko la nyanya freshi katika mwaka mzima.
Current language
Kiswahili
Produced by
Countrywise Communication